Huwezi kuzungumzia ngoma ambazo zinabamba kinoma noma sasa hivi Africa ukaacha kuitaja “Pana” yakwake Tekno Milles.
Ni ngoma kali iliyoshiba katika kila idara kuanzia kwenye production hata kwenye mashairi. Sasa nimeileta remix ya ngoma hiyo ambayo humo ndani kuna kichwa kingine kibovu ambacho kinawanyima usingizi wasanii wakike wa Tanzania kila kukicha katika suala zima la Tuzo za kimataifa, anaitwa Yemi Alade.
LISTEN & DOWNLOAD...................
No comments:
Post a Comment