Enter your keyword

Wednesday, November 2, 2016

MUSIC: TEKNO FT YEMI ALADE – PANA REMIX (LISTEN & DOWNLOAD)

By On November 02, 2016
Huwezi kuzungumzia ngoma ambazo zinabamba kinoma noma sasa hivi Africa ukaacha kuitaja “Pana” yakwake Tekno Milles.
Ni ngoma kali iliyoshiba katika kila idara kuanzia kwenye production hata kwenye mashairi. Sasa nimeileta remix ya ngoma hiyo ambayo humo ndani kuna kichwa kingine kibovu ambacho kinawanyima usingizi wasanii wakike wa Tanzania kila kukicha katika suala zima la Tuzo za kimataifa, anaitwa Yemi Alade.

LISTEN & DOWNLOAD...................


Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

RATIBA YA MICHEZO YA UEFA LEO JUMATANO NOVEMBER 2

By On November 02, 2016

Baada ya kushuhudia Man City akimnyoosha Barcelona hapo jana katika uwanja wake wa nyumbani, tuna nafasi nyingine tena ya kukiangalia atakachokifanya Bayer Leverkusen nyumbani kwa Tottenham Hotspurs. Ni baada ya mchezo uliopita baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya bila kufungana.
Na huo ni mmoja tu kati ya michezo 8 ambayo inatarajiwa kupigwa usiku wa leo katika viwanja tofauti tofauti ili kukamilisha idadi ya michezo 4 katika kila timu kwa hatui hii ya makundi ya Ligi ya mabingwa barani humo.
Na ratiba ya michezo hiyo ipo kama ifuatavyo.
Group E
  1. Monaco vs CSKA Moscow
  2. Tottenham Hotspurs vs Bayer Leverkusen
Group F
  1. Borussia Dortmund vs Sporting CP
  2. Legia Warszawa vs Real Madrid
Group G
  1. FC Koebenhavn vs Leicester City
  2. FC Porto vs Club Brugge
Group H
  1. Juventus vs Lyon
  2. Sevilla vs Dinamo Zagreb
Michezo yote hiyo itachezwa mishale ya saa 4:45 Usiku.

Source: perfect255

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video



Popular

Categories