Enter your keyword

Saturday, October 15, 2016

VIDEO: “HOW LONG” YA DAVIDO NA TINASHE HII HAPA

By On October 15, 2016

Baada ya kutangaza kuachia video ya wimbo wake mpya wa “How long” aliomshirikisha Tinashe kutoka ijuma hii, hatimaye kichupa kimetoka..

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video 


Video: Gucci Mane – Icy Lil Bitch

By On October 15, 2016
Ballin’! Gucci Mane becomes Coach Guwop in the video for his Zaytoven-produced single “Icy Lil Bitch.”

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video 

Thursday, October 6, 2016

Mtuhumiwa wa unyang’anyi wa kutumia silaha na kutoboa macho

By On October 06, 2016


Mtuhumiwa wa unyang’anyi wa kutumia silaha na kutoboa macho, Salum Njwete maarufu ‘Scorpion’ akisindikizwa na polisi na askari magereza kurejeshwa rumande baada ya kusomewa shitaka lake katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam jana.
Scorpion alifikishwa mahakamani hapo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Adelf Sachore na kusomewa mashitaka na Wakili wa Serikali, Munde Kalombola.
Akisoma mashitaka hayo, Kalombola alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Septemba 6, mwaka huu eneo la Buguruni Sheli wilaya ya Ilala.
Munde alidai, Njwele aliiba mkufu rangi ya fedha wenye uzito wa gramu 34 ikiwa na thamani ya Sh 60,000, bangili na fedha taslimu Sh 331,000 vyote kwa pamoja vikiwa na thamani ya Sh 476,000 mali ya Mrisho.
Kalombola alidai kuwa mshitakiwa kabla na baada ya wizi huo, alimchoma kisu machoni, tumboni na mabegani mlalamikaji ili ajipatie mali hizo.
Hata hivyo, upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika na upande wa mashitaka uliomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutaja.
Hakimu Sachore aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 19, mwaka huu kesi hiyo itakapotajwa tena. Mshitakiwa alirudishwa rumande kutokana na mashitaka yanayomkabili kutokuwa na dhamana.

Mkali huyo wa masauti ambaye anafanya vizuri na wimbo

By On October 06, 2016



Mkali huyo wa masauti ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Nishike’, ameiambia Bongo5 kuwa yeye ni mwanamuziki kwa kuwa anafanya vitu vingi ndani ya muziki.
“Mimi ni msanii ninayefanya muziki ndani ya Tanzania, sio muziki wa bongofleva, sio muziki wa dansi, sio msanii wa taarabu,” alisema Bella “Mimi ni mwanamuziki, mimi ni mwanamuziki kwa ujumla, usiniseme mimi ni Bella msanii wa muziki wa dansi au Bella msanii wa muziki wa bongofleva au Bella msanii wa taarab au Bella msanii wa R&B, Christian Bella ni mwanamuziki,”
Aliongeza “Mimi nafanya muziki kufurahisha kila mtu, nafanya muziki kufurahisha wanahip hop, wana bongofleva, wana dansi,wana taarab ndio maana mimi naitwa mwanamuziki,”


Pia muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa makao wa kula kwa ajili ya ujio wa studio yake pamoja na label ya kusimamia wasanii.

Rais wa Ufaransa, François Hollande.

By On October 06, 2016


Si mwingine, bali ni Rais wa Ufaransa, François Hollande.
Watu waliokaribu na staa huyo, wanadai kuwa baada ya tukio hilo la Paris, Hollande yeye mwenyewe anahusika katika uchunguzi na ameahidi kutoa ulinzi wa ziada kwa Kim mara nyingine akiwa nchini humo, kwa mujibu wa Pagesix.
Kutokana na tukio hilo kuteka habari za wiki hii dunia, mamlaka za Ufaransa zitaabika iwapo zitashindwa kuwakamata watu hao watano waliokuwa wamefunika sura zao na Hollande anataka watu maarufu akiwemo Kardashian, kurejea na kujihisi wako salama Paris.
Wakati huo huo, kuna taarifa kuwa anatafutwa mtu anayefanana na Kim ili kumtumia kuchanganya watu na kumhakikisha usalama zaidi kila anapotoka nje.
Pia watoto wake, North na Saint, watakuwa na timu yao ya ulinzi kwakuwa Kim ana wasiwasi kuwa wao pia wanaweza kutekwa. Kutokana na tukio hilo Kanye anadaiwa kumuonya mke wake kutomuamini mtu yeyote ndani ya timu yake.

Popular

Categories